Popular Posts
-
Kutokana na barua yenye Kumb Na CAC.205/228/01/C/14 ya tarehe 2 Julai,2013, Kutoka Menejiment ya utumishi wa umma, inayohusu kupandisha...
-
Tamko hili limetolewa leo tarehe 3 august 2013, mkoani mbeya katika ukumbi wa royal zambezi KIKAO CHA WALIMU WA MKOA WA MBEYA CHA KUJAD...
-
Wamachinga wanadai kule waliko hamishiwa hamna biashara, wateja wala miundo mbinu yoyote kiasi kwamba mitaji inakata. so wameamua kurudi en...
Monday, 20 May 2013
M4C YAIVUNJA CCM KATIKA JIMBO LA MH. LOWASA (MONDULI), MAMIA WACHUKUA KADI CHA CHADEMA
Godbless Lema akiwakabidhi kadi za CHADEMA wananchi wa Monduli katika kata ya Makuyuni kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani. Mamia wamehama CCM na kujiunga na CHADEMA. Hili ni pigo kwa CCM kwani maeneo haya ndiyo ilikuwa ngome yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment