Popular Posts

Sunday, 19 May 2013

HALI YA MJI WA IRINGA NI TETE, POLISI WATUMIA MABOMU WA MACHOZI KUTAWANYA MACHINGA







baadhi ya picha zikionyesha moshi wa mabomu ya machozi. polisi wamelazimika kutumia nguvu ili kuwatawanya wamachinga ambao wahitaji muda wa masaa 8 tu kuanzia saa moja asubuh had saa 8 mchana kwa siku moja ya jumapili tu kwa wiki. wamachinga hao bado hawataki kutoka hapo maeneo ya mashine tatu iringa mjini. tukio hilo linatokea baada ya siku chache mh mchungaji msigwa alipowaruhusu wamachinga kuendelea na biashara hiyo. kwa taarifa zaidi fuatilia blog hii(picha na agustino alpha)

No comments:

Post a Comment